1 Petro 2:12 BHN

12 Mwenendo wenu kati ya watu wasiomjua Mungu unapaswa kuwa mwema kabisa, ili hata watakapowasingizieni kwamba mnatenda mabaya, waweze kutambua matendo yenu mema na hivyo wamtukuze Mungu siku ya kuja kwake.

Kusoma sura kamili 1 Petro 2

Mtazamo 1 Petro 2:12 katika mazingira