1 Timotheo 6:16 BHN

16 Yeye peke yake anaishi milele katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.

Kusoma sura kamili 1 Timotheo 6

Mtazamo 1 Timotheo 6:16 katika mazingira