1 Wakorintho 10:1 BHN

1 Ndugu, nataka mjue kwamba babu zetu wote walikuwa chini ya ulinzi wa lile wingu, na kwamba wote walivuka salama ile bahari.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 10

Mtazamo 1 Wakorintho 10:1 katika mazingira