1 Wakorintho 9:27 BHN

27 Naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9

Mtazamo 1 Wakorintho 9:27 katika mazingira