6 Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 11
Mtazamo 1 Wakorintho 11:6 katika mazingira