1 Wakorintho 11:7 BHN

7 Haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 11

Mtazamo 1 Wakorintho 11:7 katika mazingira