1 Wakorintho 13:1 BHN

1 Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 13

Mtazamo 1 Wakorintho 13:1 katika mazingira