2 Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 13
Mtazamo 1 Wakorintho 13:2 katika mazingira