1 Wakorintho 13:8 BHN

8 Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 13

Mtazamo 1 Wakorintho 13:8 katika mazingira