1 Wakorintho 14:27 BHN

27 Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 14

Mtazamo 1 Wakorintho 14:27 katika mazingira