28 Lakini vitu vyote vitakapowekwa chini ya utawala wa Kristo, ndipo naye Mwana atakapojiweka chini ya Mungu, aliyeweka vyote chini ya utawala wake; ili Mungu atawale juu ya vyote.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15
Mtazamo 1 Wakorintho 15:28 katika mazingira