31 Ndugu, mimi nakikabili kifo kila siku! Fahari niliyo nayo juu yenu katika kuungana na Kristo Yesu Bwana wetu inanifanya nitangaze jambo hili.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15
Mtazamo 1 Wakorintho 15:31 katika mazingira