1 Wakorintho 6:18 BHN

18 Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 6

Mtazamo 1 Wakorintho 6:18 katika mazingira