1 Wakorintho 6:19 BHN

19 Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 6

Mtazamo 1 Wakorintho 6:19 katika mazingira