1 Wakorintho 7:27 BHN

27 Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:27 katika mazingira