1 Wakorintho 7:28 BHN

28 Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:28 katika mazingira