1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba, na wa Bwana Yesu Kristo.Tunawatakieni neema na amani.
Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 1
Mtazamo 1 Wathesalonike 1:1 katika mazingira