Wakolosai 4:18 BHN

18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka kwangu, mimi Paulo. Kumbukeni kwamba niko kifungoni. Neema ya Mungu iwe nanyi.

Kusoma sura kamili Wakolosai 4

Mtazamo Wakolosai 4:18 katika mazingira