2 Uhai huo ulipotokea sisi tuliuona na sasa tunasema habari zake na kuwaambieni juu ya uhai huo wa milele uliokuwa kwa Baba na uliodhihirishwa kwetu.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 1
Mtazamo 1 Yohane 1:2 katika mazingira