1 Habari hii yahusu Neno la uhai lililokuwako tangu mwanzo. Sisi tumepata kulisikia na kuliona kwa macho yetu wenyewe; tulilitazama na kulishika kwa mikono yetu wenyewe.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 1
Mtazamo 1 Yohane 1:1 katika mazingira