2 Petro 3:18 BHN

18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.

Kusoma sura kamili 2 Petro 3

Mtazamo 2 Petro 3:18 katika mazingira