1 Yohane 2:7 BHN

7 Wapenzi wangu, amri hii ninayowaandikieni si amri mpya; ni amri ileile ya zamani mliyokuwa nayo tangu mwanzo. Amri hiyo ya zamani ni ule ujumbe mliousikia.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 2

Mtazamo 1 Yohane 2:7 katika mazingira