1 Yohane 2:8 BHN

8 Hata hivyo, amri hii ninayowaandikieni ni amri mpya, na ukweli wake unaonekana ndani ya Kristo na ndani yenu pia. Maana giza linatoweka, na mwanga wa kweli umekwisha anza kuangaza.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 2

Mtazamo 1 Yohane 2:8 katika mazingira