18 Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 4
Mtazamo 1 Yohane 4:18 katika mazingira