1 Yohane 4:17 BHN

17 Upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 4

Mtazamo 1 Yohane 4:17 katika mazingira