2 Petro 1:1 BHN

1 Mimi Simoni Petro, mtumishi na mtume wa Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi ambao, kwa wema wake Mungu wetu na Mwokozi Yesu Kristo, mmejaliwa imani ileile ya thamani kuu tuliyojaliwa sisi.

Kusoma sura kamili 2 Petro 1

Mtazamo 2 Petro 1:1 katika mazingira