16 Wakati tulipowafundisheni juu ya ukuu wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo, hatukutegemea hadithi tupu zisizo na msingi. Sisi tuliuona utukufu wake kwa macho yetu wenyewe.
Kusoma sura kamili 2 Petro 1
Mtazamo 2 Petro 1:16 katika mazingira