2 Petro 1:17 BHN

17 Sisi tulikuwapo wakati alipopewa heshima na utukufu kutoka kwa Mungu Baba, wakati sauti ilipomjia kutoka kwake yeye aliye Utukufu Mkuu, ikisema: “Huyu ni Mwanangu mpenzi ambaye nimependezwa naye.”

Kusoma sura kamili 2 Petro 1

Mtazamo 2 Petro 1:17 katika mazingira