2 Timotheo 2:10 BHN

10 Kwa hiyo navumilia kila kitu kwa ajili ya wateule wa Mungu, ili wao pia wapate ukombozi upatikanao kwa njia ya Yesu Kristo, na ambao huleta utukufu wa milele.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 2

Mtazamo 2 Timotheo 2:10 katika mazingira