2 Timotheo 2:9 BHN

9 na ambayo kwa sababu yake mimi nateseka na nimefungwa minyororo kama mhalifu. Lakini neno la Mungu haliwezi kufungwa minyororo.

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 2

Mtazamo 2 Timotheo 2:9 katika mazingira