2 Timotheo 2:19 BHN

19 Lakini msingi thabiti uliowekwa na Mungu uko imara, na juu yake yameandikwa maneno haya: “Bwana anawafahamu wale walio wake,” na “Kila asemaye yeye ni wa Bwana, ni lazima aachane na uovu.”

Kusoma sura kamili 2 Timotheo 2

Mtazamo 2 Timotheo 2:19 katika mazingira