2 Wakorintho 1:14 BHN

14 maana mpaka sasa mmenielewa kiasi fulani tu. Tunajua kwamba katika ile siku ya Bwana Yesu mtaweza kutuonea sisi fahari kama nasi tunavyowaonea nyinyi fahari.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 1

Mtazamo 2 Wakorintho 1:14 katika mazingira