2 Wakorintho 1:22 BHN

22 ndiye aliyetutia mhuri wa kuwa mali yake yeye na kutujalia Roho mioyoni mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 1

Mtazamo 2 Wakorintho 1:22 katika mazingira