2 Wakorintho 1:6 BHN

6 Ikiwa tunapata taabu, basi ni kwa ajili ya faraja na wokovu wenu. Tukifarijika, ni kwa ajili ya kuwafariji nyinyi na kuwaunga mkono mpate nguvu ya kustahimili mateso yaleyale tunayoteseka sisi.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 1

Mtazamo 2 Wakorintho 1:6 katika mazingira