8 Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 1
Mtazamo 2 Wakorintho 1:8 katika mazingira