2 Wakorintho 10:7 BHN

7 Nyinyi hutazama mambo kwa nje tu. Je, yupo mtu yeyote anayedhani kwamba yeye ni wa Kristo? Sawa! Basi, afikirie vilevile kwamba sisi pia ni wa Kristo kama yeye alivyo wa Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 10

Mtazamo 2 Wakorintho 10:7 katika mazingira