16 Tena nasema: Mtu asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 11
Mtazamo 2 Wakorintho 11:16 katika mazingira