2 Wakorintho 11:25 BHN

25 Nilipigwa fimbo mara tatu, nilipigwa mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa meli baharini, na humo nikakesha usiku kucha na kushinda mchana kutwa.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 11

Mtazamo 2 Wakorintho 11:25 katika mazingira