18 Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. Je, Tito aliwanyonyeni? Je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja?
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12
Mtazamo 2 Wakorintho 12:18 katika mazingira