2 Wakorintho 12:9 BHN

9 Lakini akaniambia: “Neema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu.” Basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake Kristo ukae juu yangu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:9 katika mazingira