4 Maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa Mungu. Sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo wa Mungu kwa ajili yenu.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 13
Mtazamo 2 Wakorintho 13:4 katika mazingira