2 Wakorintho 2:4 BHN

4 Nilipowaandikia hapo awali katika hali ya huzuni na sikitiko moyoni na kwa machozi mengi, haikuwa kwa ajili ya kuwahuzunisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwaonesheni kwamba nawapenda mno.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 2

Mtazamo 2 Wakorintho 2:4 katika mazingira