6 Maana yeye ndiye aliyetuwezesha kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano la sheria iliyoandikwa, bali agano la Roho. Maana sheria iliyoandikwa huleta kifo, lakini Roho huleta uhai.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 3
Mtazamo 2 Wakorintho 3:6 katika mazingira