1 Maana tunajua kwamba hema hii ambamo tunaishi sasa hapa duniani yaani mwili wetu, itakapongolewa, Mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 5
Mtazamo 2 Wakorintho 5:1 katika mazingira