21 Kristo hakuwa na dhambi, lakini Mungu alimfanya ahusike na dhambi kwa ajili yetu, ili sisi kwa kuungana naye, tupate kuushiriki uadilifu wake Mungu.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 5
Mtazamo 2 Wakorintho 5:21 katika mazingira