2 Wakorintho 7:1 BHN

1 Basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa na kuishi kwa kumcha Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:1 katika mazingira