2 Wakorintho 7:4 BHN

4 Nina imani kubwa sana ninaposema nanyi; naona fahari kubwa juu yenu! Katika taabu zetu nimepata kitulizo kikubwa na kufurahi mno.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:4 katika mazingira