2 Wakorintho 7:9 BHN

9 Sasa nafurahi, si kwa sababu mmehuzunika, ila kwa kuwa huzuni yenu imewafanya mbadili nia zenu na kutubu. Mmehuzunishwa kadiri ya mpango wa Mungu, na kwa sababu hiyo hatukuwadhuru nyinyi kwa vyovyote.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:9 katika mazingira