2 Wakorintho 9:10 BHN

10 Na Mungu ampaye mkulima mbegu na mkate kwa chakula, atawapa nyinyi pia mbegu mnazohitaji, na atazifanya ziote, zikue na kuwapa mavuno mengi ya ukarimu wenu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9

Mtazamo 2 Wakorintho 9:10 katika mazingira