8 Mungu anaweza kuwapeni nyinyi zaidi ya yale mnayoyahitaji, mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi kusaidia katika kila kazi njema.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9
Mtazamo 2 Wakorintho 9:8 katika mazingira